Search

48 results for Zourha Malisa :

  1. Tamu na chungu ya michoro ya Tattoo

    Napenda tattoo kwa sababu ni njia inayonifanya nijisikie vizuri, hasa ninapopitia changamoto zinazoniumiza moyo na kunikosesha amani, nikishachora huwa napata amani, na michoro yote iliyopo...

  2. Kampuni ya Mwananchi ni mwendo wa kidijitali zaidi

    Ili kufanya hivyo, mtumiaji wa tovuti hizo atatakiwa kulipia Sh500 kwa siku, Sh3,000 kwa wiki, Sh15,000 kwa mwezi na Sh91,000 kwa mwaka mzima.

  3. VIDEO: Simulizi aliyejichoma sindano 38 tumboni akisaka mtoto kwa miaka 13

    Miaka 13 haikuwa kikwazo kwa Josephine kupambana kupata ujauzito, akitumia zaidi ya Sh20 milioni.

  4. VIDEO: Miaka 14 ya hedhi ya mateso

    Maisha ni mapambano, si vyema kukata tamaa. Ni ujumbe unaoshabihiana na simulizi ya Sada Jinyevu (35), anayepitia mateso kila anapopata hedhi.

  5. Safari ngumu ya kutafuta mtoto kwa upandikizaji

    Saa moja usiku ndani ya ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) nikielekea jijini Arusha nikiwa na mawazo lukuki kichwani, hasa kuhusu majibu ya vipimo ambavyo hadi muda huo sikuwa nimevifanya.

  6. Mwana FA kutoka kuwa mwanaHip Hop hadi U-naibu waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma ‘Mwana FA’ kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.

  7. Mwana FA kutoka kuwa mwanaHip Hop hadi U-naibu waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma ‘Mwana FA’ kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.

  8. Nape: Mwananchi mmethibitisha ubora wenu

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameitaja Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kuwa moja ya chombo bora cha habari katika ulimwengu wa sasa.

  9. Nape azindua mwonekano mpya wa tovuti za MCL

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezindua mwonekano mpya wa tovuti za Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti zinazomilikiwa na kuendeshwa na Kampuni ya Mwananchi...

  10. Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema tisa akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi.

Page 1 of 5

Next